Je Unahitaji Tuonane Nikufundishe na Kukupa Ushauri Wa Biashara Yako?
Ujifunze kuuza online, kurusha matangazo na mbinu za kupata wateja kila siku bila kutumia gharama kubwa za matangazo!







Ndani Ya Masaa 2 Utajifunza:
- Kuuza Deilee Instagram Kwa Sponsored Ads
- Kuuza Deilee Tiktok Kwa Sponsored Ads na kwa kuingia Live
- Kupata Deilee Wateja Facebook Kwa Sponsored Ads
- Kutengeneza whatsapp community, kurusha sponsored ads kupitia status au catalogue
- Kuongeza mauzo online na Ushauri wa kitaalamu wa kukuza biashara yako
Unahitaji Nini Kabla Ya
Kuamua Kukukutana na Mimi
- Niandalie password zako za Instagram, Facebook na Tiktok ili tusipotezeane muda!
- Njoo na notebook ya kuandika vitu utakavyojifunza sio unakuja mikono mitupu
- Malipo ya Tsh 249,000/= kwa ajili ya mafunzo na ushauri kutoka kwa mwalimu
- Kutenga Masaa 2 Kwa ajili ya kujifunza na kupata ushauri
Utapata Free Bonus Hizi
#1 - Kozi Ya Uza Deilee
Utajifunza nini kwenye kozi hii?
- Kuuza Instagram kwa matanagzao ya sponsored ads
- Kuuza Facebook kwa matangazo ya sponsored ads
- Kuuza Tiktok kwa matangazo ya sponsored ads
- Kuuza Whatsapp kwa whatsapp status ads
Thamani Yake ni TZS 120,000/=
#2 - Tingting Audience Setup Vol 2
Utapata nini kwenye huduma hii?
- Nakusetia audience ili ukisponsa tangazo lionekane kwa wateja wanaotafuta bidhaa unayouza na limfuate mteja kila kona
- Ushauri wa bajeti nzuri ya instagram na facebook
- Kujua matangazo yenye kuleta wateja na sio likes tuu
- Kukuondolea Disabled AD Account
Thamani Yake Ni TZS 150,000/=
Maswali Na Majibu Kuhusu Consultation
Hapana, mimi na wewe tunakutana sehemu nyingine mbali na sehemu ya biashara yako!
Masaa 2
Ndio nitakufanyia bure setup ya audience kulingana na unachouza!
Gharama Ya Kuonana Na Coach Amani ili kupata mafunzo na ushauri ana kwa ana ni Tsh 249,000/=
Unalipia Tsh 124,500/= kabla ili kuconfirm tarehe, siku na mahali pa kukutana alafu Tsh 124,500 iliyobakia utamalizia siku tukikutana ofisini baada ya kumaliza session!
Amani Longishu
ni Nani?
Amani Longishu, ni mwalimu wa biashara kwenye mitandao ya kijamii na mtaalamu wa masoko mtandaoni tangu julai 2019.
Amewasaidia wafanyabiashara zaidi ya 1500+ kujibrand instagram, facebook, tiktok na Whatsapp na kupata wateja wanaonunua!
Pia ndio mtayarishaji na muongozaji wa Amani Business School Podcast inayotoa dondoo kuhusu biashara, uuzaji kwenye mitandao ya kijamii na namna ya kutumia mitandao ya kijamii kupata wateja na kujenga chapa.
Njia 2 Unazoweza Kutumia Kufanya Malipo
#1 - Lipa Kwa MPESA
LIPA NAMBA 35982856
Jina: AMANI ISAYA LONGISHU
Kiasi: Tsh 124,500 kama ukilipia nusu kwanza au Tsh 249,000 kama ukilipia yote
BAADA YA KULIPIA:
Tuma message Whatsapp +255 658 145 285 ya jina la muamala wako!
Kama Umeshalipia Kwa Lipa Namba
Tuma Uthibitisho Wa Muamala Hapa
#2 - Hamisha Kwenda Benki
NMB BANK
Account Namba: 23010007065
Jina La Akaunti: AMANI LONGISHU
Kiasi: Tsh 124,500 kama ukilipia nusu kwanza au Tsh 249,000 kama ukilipia yote
BAADA YA KULIPIA:
Tuma message Whatsapp +255 658 145 285 ya jina la muamala wako!
Kama Umehamisha Kwenda Benki
Tuma Uthibitisho Wa Muamala Hapa
This site is not a part of the Facebook website or Facebook Inc. Additionally, This site is NOT endorsed by Facebook in any way. FACEBOOK is a trademark or FACEBOOK, Inc.
Optiza Digital @2026
