Skip to content

Kozi ya Kiswahili

Uza Deilee Online

Jifunze jinsi ya kuuza kila siku kwenye Instagram, TikTok, Facebook na WhatsApp, hata kama huna duka wala wafuasi wengi.

Tsh 60,000/= tu — Kozi Kamili (Video Mafunzo + PDF)

Uza Deilee Online - jifunze kuuza kila siku Instagram, TikTok, Facebook na WhatsApp

Utakachojifunza Ndani ya Kozi

Mfumo kamili wa kukusaidia kuuza kila siku mtandaoni, jukwaa moja baada ya jingine, hatua kwa hatua.

1. Mfumo wa Kuuza Kila Siku (Msingi)

2. Kuuza Kila Siku Instagram

3. Kuuza Kila Siku TikTok

4. Kuuza Kila Siku Facebook

5. Bonus: WhatsApp Business na Kufunga Mauzo

Tsh 60,000/=

Kozi Kamili (Video Mafunzo + PDF) — Inatumwa WhatsApp mara baada ya malipo.

Jinsi ya Kulipia

1

Lipa TZS 60,000 kupitia M-Pesa

Tumia Lipa Namba: 353574117 (Jina: Optiza Digital).

2

Tuma Uthibitisho wa Malipo

Piga picha ya muamala wako na tuma WhatsApp: +255 786 137 760.

3

Pokea Kozi Yako

Utatumiwa Kozi (Video + PDF) papo hapo kwa WhatsApp.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Kozi hii ni kwa ajili ya mtu yeyote anayeuza bidhaa au huduma mtandaoni na anataka kujifunza jinsi ya kuuza kila siku kwenye Instagram, TikTok, Facebook na WhatsApp, hata kama hajawahi kufanya biashara mtandaoni kabla.

Kozi ni ya kidijitali (video na PDF), kwahiyo nakutumia kwa WhatsApp baada ya kufanya malipo!

Ndio, nakutumia tena kwa njia ya WhatsApp!

Ndio, ukikwama mahali unaweza kuuliza swali na mimi coach wako nitakujibu na kukuelekeza tena!

Tsh 60,000 tu, na unalipia kwa M-Pesa Lipa Namba 353574117 (Optiza Digital). Baada ya hapo tuma muamala wako WhatsApp +255 786 137 760 nikutumie kozi yako!